Color Silver CC 2360 AB ABS AW RS FOG NV 2WD 100s km
Total Cost + Ushuru Tsh 20.5Mil
Agiza nami kwa:
Call/whatsapp/skype: +255715471659
e: hamoudautocom@gmail.com
Office: Quality Centre, Nyerere...
Natafuta wateja wa viatu jumla na rejareja head office kariakoo mtaa wa nyamwezi na wakala yupo tunduma, mbeya lakini ukitaka popote tunakuletea bei nafuu kabisa
Kinasoru East Africa Tanzania Ltd inatoa fursa ya mafunzo ya uendeshaji wa mradi wa ufugaji wa kuku, utotoreshaji wa Vifaranga, Utengenezaji na Uandaaji wa vyakula mbalimbali vya kuku...
Habari za jioni wadau. Kwa Wanaohitaji Mikopo midogo midogo kuanzia (100,000 mpaka 2,000,000) kwa wakazi wa Dar es salaam tu. Riba ni 25%. Karibuni. Mawasiliano +255712 220207.
Post sent using...
Make: toyota
Model:alphard
Year:2004
Cc:2360
Engine: 4cylinder
Condition: mint
Colour:pearl white
Registartion no: DJU
camera: front, back and inside.
Tv: front and back seats.
Milleage: 61,352...
Kwa wapenzi wa movies na series waliopo IRINGA, nicheki kwa 0658714777 au 0692442335.bei ni poa sana. Kitu kama DESIGNATED SURVIVOR season 2, VALOR season 1. na nyinginezo.
Ninahitaji mbegu ya mihogo aina ya kiroba. Shamba langu lipo Kibaha Soga. Mwenye taarifa ya upatikanaji wa mbegu hii naomba anifahamishe au anipatie mawasiliano ya muhusika.
Natanguliza shukrani zangu
Habari za kazi!
Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni.
Shukrani.
Wale wanaohitaji dagaa wa Bukoba wasio na mchanga tayari wamewasili,wanapatikana eneo la taliani Kama unaelekea chanika bei yetu ni shilling 7500/= kwa kilo.
Karibuni Sana
Habari za kazi!
Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni.
Shukrani.
Habari za umundani Viongozi,naomba kujua kampuni yeyote ambayo inanunua mchaichai(lemonglass) moja kwa moja kutoka shambani Kama ipo au mawakala wapo naomba mawasiliano tafadhari. Hata njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.