Nauza project yangu ya nguruwe

Susan85

Member
May 23, 2017
86
19
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox me if interested in buying the project.pia option ya kukodisha Banda kwa mkataba wa mwaka inawezekana. kwa mawasiliano zaidi piga 0756661761 au 0627840045
 
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawili tumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo kiromo.ninauza plot nilipojenga mradi pamoja na mradi wenyewe.Nina vijana wawili wanaosimamia ambao wako wazuri tu na wamiinifu.lengo nauza mwezangu anataka finance ya haraka ya tender nyingine aliyopata na ule ni mradi Wa kusubiri.more info.picha zilikuwa kwenye simu nyingine ilingia virus mpk niende shamba.inbox me if interested in buying the project.
Gharama yake ni kiasi gani
 
Gharama yake ni kiasi gani
gharama ni kama ifuatavyo Banda fence tank na maji 13m,eneo 7.5m unaprocessiwa Pmj na hati.total20.5m.option ya kukodisha banda kwa kodi ya laki650 kwa mwezi kwa kupeana mkataba wa mwaka pia inawezekana.
 
Gharama yake ni kiasi gani
gharama ni kama ifuatavyo Banda fence tank na maji 13m,eneo 7.5m unaprocessiwa Pmj na hati.total20.5m.option ya kukodisha banda kwa kodi ya laki650 kwa mwezi kwa kupeana mkataba wa mwaka pia inawezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom