Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za wakati huu wadau!, kama Topic inavyojieleza Natafuta tenda ya kusambaza samaki aina zote kwenye Mahotel, migahawa, shule na madukani. AINA YA SAMAKI: Sato , Sangara, vibua, kamongo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta shamba kwajili ya kilimo cha vitunguu, viazi au mpunga morogoro ila sio la kununua ni kukodi kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru!![emoji120]
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni aina gani nzuri ya mashine ya kusaga matunda(blender)....kwa jiji la mwanza naweza kupata maduka gani..?
1 Reactions
46 Replies
11K Views
Naombeni. Kujua na kuuliza. IPI ni window bora kwa PC ya Duo2 pia RAM 2GB Swali LA pili. No hatua zipi za kufata wakat wa kushusha window 8 kuweka window 10 msaada jaman
0 Reactions
3 Replies
4K Views
ni Miti kwa ajili ya mbao ,mirunda na nguzo za umeme Miti ina miaka 4 Bei ni 1200000 kila eka Zipo eka 20 Shamba lipo kijiji cha lyalalo halimashauri ya Njombe ktk mkoa Wa Njombe Kwa mawasiliano...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Package includes: 3 light stands 3 softboxes 3 bulbs (daylight) 3 backgrounds (white, black, green) Suitable for: Photoshoot, video, products photography etc Bei; 650,000/= haishuki...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Habari wakuu! Natafuta frem ya biashara ya grocery iwe maeneo ya mbezi ya Kimara! Isiwe kwa ndani sana,maeneo yaliyochangamka na yanayoruhusu watu kusuuza roho zao kwa kinywaji!
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Inatumia mtandao wa tigo, lakn ukiongea vzr na wataalamu wa IT kama kina MwlRTC wanaweza kukusaidia kuiunlock itumie mitandao yote, Sababu ya kuiuza ni kwamba nipo nje ya mji kwa miez kadhaa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninauza mawe ya Tanga stone yaliyo katwa Tayari. Square meter moja nauza ni kati ya Tsh 35,000 na Tsh 60,000 inategemea na aina ya mkato (cutting style) Wasiliana nami kwa namba hii 0758484166/...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
wakuu habari! natafuta email address ya ICAP TANZANIA ambayo inafanya kazi maana hii ya icap-jobsTanzania@columbia.edu napata feedback kuwa siyo sahihi.
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Habari wakuu Hii tv nimeiona mtandaoni inauzwa bei rahis sana Ni mtandao wa alibaba Jee dukani huku bongo ni sh ngp? Nikiiagiza mtandaoni nitakatwa kodi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watson's honey product" -hii Asali yenye virutubisho vya kipekee sana . -Asali hii inakua tofauti na asali nyingine kutokana Na maua Na miti ambayo nyuki uchukua virutubisho kutengeneza Asali...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ninauza nyumba, moja manzese darajani karibu na soko la manzese na nyingine zipo bunju usalama, kwa mtu mwenye kuhitaji anitafute kwa namba zifuatazo: 0717095366/0713990022/0786583806/0783502420
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za mida hii. Anahitajika fundi wa kamabati ya jikoni na bed room wa uhakika na garama nafuu. Kama wewe ni fundi wa ukakika basi jitokeze nitakupa namba ya simu nione sampo ya kazi na maelewano
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Zipo eka 100 Bei ni tsh 100000 kila eka Shamba linapatikana tarafa ya lupembe mkoani Njombe Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929 Linafaa kupandwa Miti ya mbao,matunda aina ya...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Wakuu habari za mudaa. Kama swali linavyojieleza hapo juu, ninahitaji maziwa freshi ya ng'ombe kuanzia lita 100 hapahapa Dar na iwe naweza yapata kila siku. Nataka kujua na bei ya lita moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama tangazo linavyojieleza nauza sabuni za magadi toka kigoma ni nzuri kwa kufilia kuoshea vyombo na hata kuogea ulipenda Bei kwa mche sh 1500 Kwa katoni ni sh 30000 Sabuni zinapatikana dar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lina ukubwa Wa eka 100 Bei ni tsh 100000 kwa eka Lipo ktk tarafa ya Lupembe mkoan Njombe Kwa mawasiliano zaidi nipigie simu 0764426929 au 0655726929 Shamba lipo mahali pazuri na linafikika na gari
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Karibu sana usikose
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Kwa wale wakazi wa Arusha wenye mpango wa kufuga Nguruwe nafasi ndyo hii bei ni poa sana. Hao ni wa miezi mitatu.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…