Natafuta shamba la kukodi Morogoro kwa ajili ya kilimo

TechTino

Member
Oct 16, 2016
71
25
Natafuta shamba kwajili ya kilimo cha vitunguu, viazi au mpunga morogoro ila sio la kununua ni kukodi kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom