Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

inauzwa altezza CFH 541 cc1990 bei M6 pungu unaongea
1 Reactions
16 Replies
2K Views
habarini wadau, kama kichwa kinavyo jieleza, nahitaji kufanya biashara ya kuchukua mzigo wa rasta kiwandani na kupeleka mikoani nikauze kwa bei ya jumla, kama kuna mtu anafahamu utaratibu wa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Za leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali nipo dodoma,ninataka kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza furniture za kisasa lakini sina uzoefu wowote,,,,nataka kijana anayejua kutengeneza sofa za...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu?? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm ni mkazi wa Dar es salaam nmebuni kitu fulani lakin nahitaj capital ya kuniwezesha kuanza so kwa anaefaham sehem ninayoweza kupata loan...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu salam zenu,,,,,, Katika pita pita zangu nimesikia ya kuwa kuna benki nchini inakopesha pikipiki kwa kianzio cha laki 4,,,, Mwenye kujua zaid atujuze jaman Ahsante, Nawasilisha
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji maziwa ya ng'ombe fresh Lita tano kwa kila wiki. Mimi niko mbagala 0652074590
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda ndugu zang,nauza flat tv nch 32 lg bado mpya kabisa 400000,ipo bukoba kagera
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau, Kwa muda mrefu nmekuwa nkijaribu kutafuta duka la pikipiki ambalo linauza kwa mkopo kwa kulipia kila mwezi bila mafanikio. Nataka nijaribu kwa kupitia JF kama nitafanikiwa kupata...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nahitaji flat tv nina 700k nahitaji ndani ya siku mbili kuanzia leo niwe nimepata nipigie 0716863406
0 Reactions
5 Replies
741 Views
Habari wadau,nauza maziwa ya ngombe fresh kwa bei ya sh 2000 ,maziwa mtindi 3000 kwa kila Lita,kama utachukua kila siku being inaweza kushuka . Mayai ya kienyeji tray 15,000 Ninaishi kiluvya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Waheshimiwa, Mimi nipo Dar es Salaam na naomba msaada kwa yoyote aliye na ushauri au maelezo ya jinsi ya kupata pikipiki mpya aina ya boxer nitakayokuwa nailipia kwa wiki au mwezi. Kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kawaida network marketing ndio mfumo pekee wa bbiashara ambao unaweza kukuingizia kipato cha kutosha. Kutokana na sababu kuu mbili ambazo ni:- -unaingiza kipato kupitia kazi zinazofanywa na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko mbagala mbande shelf za ndani zilivunjika hivyo waweza kuweka bei 250000 na kuna top ilitumika bado mpya 120000
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau nina mahitaji ya camera aina ya canon au Nikon iwe katika conditions nzuri napatikana dar es salaam. contacts 0625503796/0763175222 email: sstansloustheobard gmail.com
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama heading inavyojieleza wakuu nauza kuku wa kienyeji kutoka singida kwa bei zifuatazo (1) Tsh 12000 mtetea (2) Tsh 16000 jogoo Kwa maelezo zaidi nifuate PM
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wadau, Kwa wale wapenzi wa mahindi mabichi ndio mda wake, kama kuna mtu anachoma mahindi karibu tuongee kwa bei poa zaidi. Nipo Kibamba 0713 765 667
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hellooo! Tunauza 'cargo belt' zenye ubora wa hali ya juu sana kwa bei ya Tsh 25,000 kwa mkanda mmoja! Maongezi yapo kwa anaechukua mikanda kuanzia 50 pcs Maelezo ya mkanda 1. Urefu mita 10 2...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Infinix zero 5=670,000 Zero 4&s2 Hot 4&5=230000 kwa 270000 Note4&2 Location Arusha, Namanga Calls or WhatsApp 0753093869 Specifications za zero 5 ,hpa sumsung s8 wanasubir 6GB RAM 64GB...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
Ni mikanda imara na inadumu sana Hii huvaliwa na jinsia zote Hutumiwa pia na wale waliojifungua na ambao bado Ukivaa unaonekana smart kwani huondoa nyama zote zembe :):):):):):) Ipo ya hooks...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom