Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wale wa halotel naomba unitumie text namba 0620416327 niwaunganishe na jamaa anaunga bundle kwa elfu kumi unakula gb 20 kwa mwezi,binafsi ameniunga na malipo nimetuma mpesa yani akiwa anaunga na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naulizia wapi naweza pata SAFE au strong box ndogo za kg 20 kwa matumizi binafsi? na je zinatumia umeme au nishati gani? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Salute, Nilileta uzi wa kuuza kiwanja, baadaye nikashangaa uzi umefutwa. Kama unalipia tangazo mngenambia nilipie tu. Uzi wangu wa tatu mmefuta jana. Au mnabifu na Mimi mods?
1 Reactions
6 Replies
747 Views
Habari zenu wana jamvi, Kwa anayehitaji kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na biashara ani PM! Kiwanja kipo sehemu nzuri tu sio mbali na mjini na bei yake pia ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza tablet aina hapo juu kwa anaehitaji nicheki 0764634970 bei 4000000 nipo magomeni mwisho kesho saa 5 asubuhi ni shida ya ghafla.
0 Reactions
4 Replies
844 Views
Salaam wakuu, Mimi niko mikoani nahitaji gari tajwa hapo juu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajukwaa habari zenu natafuta mtu yeyote anayeuza mashine ya mkono ya kukamua miwa used iliyo kwenye kiwango kizuri nipo Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Natafuta pikipiki aina ya sunlg Budget 1M Niko Mwanza Mawasiliano 0742613347
0 Reactions
0 Replies
729 Views
samsung galaxy note 4 used inauzwa 390,000/= Tsh. baadhi ya specification: RAM 3GB Internal 32gb network 4g rangi nyeupe good condition haina crack yoyote kwa anayehitaji ni pm au piga 0713280314...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Specifications RAM 4GB HDD 500 GB System type :64-bt operating system,x64-based processor Intel( R) celeron (R) Screen 15 inch Price 550,000 0758728258 N.B Haina tatizo lolote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaa wazo la kutafuta gari hiyo nini Changamoto zake kwenye matumizi ya mafuta Na nini kinasumbua mara kwa mara na gharama ya hiyo/hizo spea mwenye uzoefu plz.
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Tangazo... Kutokana na uwelewa mdogo kuhusu bima na jinsi gani unaweza kata au kupata bima yako halali kutoka shirika la bima taifa (NIC) Wasiliana na wakala wa bima ya taifa Au pita katika...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
mwenye simu aina ya huawei honor 7X anicheki in box
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mipira yake ni round sio flat. Na inadumu si chini ya miaka 8 minimum. Ni mjumuisho wa system mbili. 1. Mazao ya mboga mboga ambayo unatumia drip lines. 2. Mazao ya matunda, Zao la...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama unauza established business au kampuni kutokana na sababu mbali mbali tafadhali weka details zake hapa ili wadau wachangamkie fursa. NB: MTU anaweza kuamua auze biashara take kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyumba hii ipo kigamboni mji mwema, ni umbali wa 4.5 km toka magogoni na umbali wa 3.5km toka daraja la kigamboni. Na nusu km kufika baharini. Kwa maelezo ya kuona na mengine tuwasiliane...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Make : Toyota Model: Mark X ( saloon - closed top) Engine Capacity ( cc): 2490 Fuel: Petrol Price.10million Milage : 157,800 location:dar es salaam mawasiliano karibuni pm Kwa muitaji.
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Nauza line hizo zinapatikana iringa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa anayeuza line ya tigo pesa au mpesa au airtel money au zote kwa pamoja. Natafuta hizo lines kwa bei nafuu. Ntafute kwa namba 0674028267
0 Reactions
3 Replies
845 Views
JMK ROYAL SERVICES AGENT NO A-002 WA SUN SHARE.Njoo ununue bati kwa bei ya kiwandani/ kwa price list ya kiwanda. ............................................................... Mabati ya...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Back
Top Bottom