Conrad84
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 104
- 43
Habari wadau,
Kwa muda mrefu nmekuwa nkijaribu kutafuta duka la pikipiki ambalo linauza kwa mkopo kwa kulipia kila mwezi bila mafanikio.
Nataka nijaribu kwa kupitia JF kama nitafanikiwa kupata taharifa. Miye ni mjasiliamali ambaye kazi zangu bila pikipiki haziendi. Pikipiki nayohitaji ni ya kawaida kabisa Fekon ama SanLG
Natanguliza shukrani.