Nahitaji pikipiki ya kukopa

Nahitaji pikipiki ya kukopa

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,628
Reaction score
6,561
Waheshimiwa,

Mimi nipo Dar es Salaam na naomba msaada kwa yoyote aliye na ushauri au maelezo ya jinsi ya kupata pikipiki mpya aina ya boxer nitakayokuwa nailipia kwa wiki au mwezi.

Kama kuna taasisi, kikundi au kampuni inayoweza kunisaidia katika hili.

Natanguliza shukrani.
 
Waheshimiwa, najua kuna mtu anaweza kunipa msaada haapa, acheni kunikaushia.
 
Mkuu we hali ya hapo Dsm unaionaje?

Pambana na hali yako mkuu.
 
Back
Top Bottom