Nimesikia kuna pikipiki za mkopo

Nimesikia kuna pikipiki za mkopo

273

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
63
Reaction score
83
Wakuu salam zenu,,,,,,
Katika pita pita zangu nimesikia ya kuwa kuna benki nchini inakopesha pikipiki kwa kianzio cha laki 4,,,,

Mwenye kujua zaid atujuze jaman

Ahsante, Nawasilisha
 
Sasa si bora uende dukani ulipie kidogo kidogo bila riba.
 
Hiyo nilisikia kipindi flani kuna jamaa wanafanya dodoma huko!..
 
Kwani, ya kulipia kidogo kidogo na ya kukopeshwa ipi unakabidhiwa mwanzo...?

Nadhani mleta mada anahitaji atoe laki nne kisha achukue usafiri ndio apeleke pesa iliyobaki au sijamuelewa vizuri...?
 
Hapana hata madukani bei zinatofautiana, mfano boxer ya 2.2mil kwa cash atauziwa kwa 2.3-2.4 mil kwa malipo ya kidogo kidogo.
Si kwelo..bei ni hiyo hiyo ulipe cash au kidogo kidogo kariakoo apo
 
Kwani, ya kulipia kidogo kidogo na ya kukopeshwa ipi unakabidhiwa mwanzo...?

Nadhani mleta mada anahitaji atoe laki nne kisha achukue usafiri ndio apeleke pesa iliyobaki au sijamuelewa vizuri...?
Nadhan ni hivyo mi nilimpa njia nyingine kama ikiwa si hivyo
 
Wakuu salam zenu,,,,,,
Katika pita pita zangu nimesikia ya kuwa kuna benki nchini inakopesha pikipiki kwa kianzio cha laki 4,,,,

Mwenye kujua zaid atujuze jaman

Ahsante, Nawasilisha

Mleta mada hebu mrejesho hapa jamvini umekwama wapi ili watu wakusaidie...?

Au umeshapata tayari...?
 
Jamni mweny ukwel atujuz kuhus huo mkop wa pikpik mana na mim nimechok kutembea kwa miguu
 
Mkuu naomba unijuze kuhusu hii taarifa kwa upana zaidi.
unaenda kkoo unachagua pikipiki unayoitaka, unalipia kiasi ulichonacho alafu kinachobaki unalipa taratibu, kila ukilipa utapewa receipt ukimaliza unachukua chuma chako
 
Back
Top Bottom