Habari wakuu,
Nina Fremu nauza kama unataka kuweka screen kwenye gari yako Altezza/Lexus is200/300.
Bei ni 70,000 tu
Pia nauza OBD2 Bluetooth diagnostic scanner kwa bei ya 30,000 (Inakuja na...
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 5.2 kinauzwa Dodoma mkabala na NHC Iyumbu Estate Centre ambapo rais alizindua mradi wa Iyumbu Estate Center na kununua nyumba 60. Mradi wa NHC ni nyumba 300. Eneo...
Je wewe ni mjasiliamali ungananami upate ujuzi ninafundisha kutengeneza tomato wine,kutengeneza gam ,chili juice na kukausha mboga kwa madray ya kisasa kutengeneza batiki mbalimbali nimesapewa...
Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu nauza line za uwakala MPESA na Tigo Pesa line zinafanya kazi kabisa nikikupa wewe ni kuanza kazi tu na nimezitumia karibia miaka miwili na sijawahi pata tatizo...
Tunambolea aina ya samadi mbolea za kisas kam DAP,UREA,CAN,MINJIGU,S.A tunambegu nzuri za kisas za mahind ,nyanya na mbogamboga na tunatoa mafunzo ya ujasiliamali kutengeneza wine ya nyanya TOMATO...
Habari zenu ndugu zangu
Napenda kuwajuza kwamba kama unatatizo lolote katika gari yako linalohusiana na Umeme kama vile, taa ya check engine, gari kukosa Nguvu pia kama unataka kufungiwa sound ya...
Habar wana JF,
Kama kuna mtu ana simu ya :-
Nokia 515 ( Double Line)
Nokia 215 ( Double Line)
Nokia 220 ( Double Line)
Aje inbox tufanye biashara na asiwe mbabaishaji.
Wengi hulipa mainjinia pesa nyiiingii saaana na kushindwa kumaliza ujenzi wao salama kutokan na labour charge kuwa juuuu saana. Wasiliana nami 0753093869 popote nafika.
Sasa utaweza kujenga...
Shamba lipo magoza.
Ukifika njia panda mvuti dar es salaam unaelekea upande wa kushoto utafika hadi shamba la mageleza magoza.
Ukitoka magoza unatafuta mtaa wa mji mpya.
Shamba linauzwa milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.