Kwa mahitaji yako ya 'cargo belt' karibu sana

Kwa mahitaji yako ya 'cargo belt' karibu sana

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Hellooo!
Tunauza 'cargo belt' zenye ubora wa hali ya juu sana kwa bei ya Tsh 25,000 kwa mkanda mmoja! Maongezi yapo kwa anaechukua mikanda kuanzia 50 pcs
Maelezo ya mkanda
1. Urefu mita 10
2. Uwezo waa kuhimili mzigo ukiukaza tani 5 na tani 6
3. Materials ni polyster
4. Tunapatikana mtaa wa Lindi na Shaurimoyo, Ilala na Mikocheni
5. Mawasiliano 0659211222
6. Email: officeafrolinktzlc@gmail.com
7. Bei Tsh 25,000 kwa mkanda mmoja maongezi yapo kwa anaechukua mzigo mkubwa
8. Tunakuletea mzigo mpaka sehemu yako ya biashara au godauni
IMG-20180115-WA0010.jpg
IMG-20180115-WA0011.jpg
IMG-20180115-WA0007.jpg
 
hapo kwenye makutano ya mtaa wa lindi na shaurimoyo ndipo duka lilipo?
 
hapo kwenye makutano ya mtaa wa lindi na shaurimoyo ndipo duka lilipo?
Hapana Mkuu! Hapo zipo ofisi na sample waweza kuziona! Ukihitaji ofisi nyingine na godown ipo Mikocheni! Tunafanya delivery hadi dukani au sehemu yoyote ulipo ndani ya Dar
Karibu sana
 
Back
Top Bottom