Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nahitaji flat tv nina 700k nahitaji ndani ya siku mbili kuanzia leo niwe nimepata
nipigie 0716863406
nipigie 0716863406
okNgoja waje... Ila kwa hiyo hela Labda 43'' tena used
Au kaiba sehemuHakuna flat TV ya 49" au 50" kwa laki saba ata kama in used.kumbuka unazungumzia TV yenye ukubwa sawa na madirisha ya kisasa. Kwa pesa iyo nahisi ni kidogo.labda atakaye kuuzia awe na shidasana na iyo hela