Natafuta anayeuza maziwa fresh ya ng'ombe Dar

Natafuta anayeuza maziwa fresh ya ng'ombe Dar

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
248
Reaction score
146
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji maziwa ya ng'ombe fresh Lita tano kwa kila wiki. Mimi niko mbagala
0652074590
 
Upo Dar sehem.gan mkuu na unahitaji kiasi gan, kwa siku/ bill? Mzee anang'ombe 3 wa maziwa anazalisha wastani lita 15 za maziwa daily pale Kibangu
 
Ngoja waje vilamba maziwa wakupatie haja ya moyo wako ww...
 
Upo Dar sehem.gan mkuu na unahitaji kiasi gan, kwa siku/ bill? Mzee anang'ombe 3 wa maziwa anazalisha wastani lita 15 za maziwa daily pale Kibangu
ngombe 3 lita 15 kwa siku!?,means wastani wa lita 2.5 kwa mkamuo!!mwambie mzee hao sio ngombe wa maziwa aisee
 
Back
Top Bottom