we ni mfugaji au?Umejichanganya, tetea ndiyo mwenye thamani kushinda jogoo
Mimi ni mlajiwe ni mfugaji au?
ahaa,ok poa.Mimi ni mlaji
Ndio mkuu uwezo huo wanaoJe naweza kununua kwaajili ya kufuga? maana wengine hufa hawahimili magonjwa na hali ya hewa ya dar
Je wewe ni mlaji?ahaa,ok poa.
Umejichanganya, tetea ndiyo mwenye thamani kushinda jogoo
Ndio mkuu uwezo huo wanao
Kuku naowauza ni wale waliozoea mazingira ya kufungiwa na kulishwa wengi wa wanaokufa ni wale waliozoea kujitaftia chakula "hawafungiwi mda wote" hivyo wanapokuja dar na kubadilishiwa lifestyle yao hupelekea kufa na hata kudhoofika
Ni mawazo yako na si uhalisia uliopo