Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei ni 200,000 mazungumzo yapo,nipo dsm line ni ya uhakika. Nitumie ujumbe mfupi kwenye 0717-092428
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Binafsi mimi ni mmoja wa watu naoamini msaada wa huu mtandao. Bila kupoteza wakati ndugu zangu nahitaji mtu au dalali wa bei nafuu ambae anaweza nisaidia kupata chumba hapo dodoma tuweze wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Tuwasiliane kwa Mwenye uhitaji wa hizi bidhaa;- Display ya miwani inauzwa 300,000 INA Display miwani pc 105(mia na tano) kwa wati mmoja. Ni kubwa, na juu kabisa INA vioo viwili. Inafaa kwa mtu...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Samahani kwa Kosa la heading. Mahala: Msanga mkuu, mtwara Ukubwa: Mita 129 kwa 100 Vitu vilivyomo: minazi Linafaa kwa: Hotel, resort, Makazi Bei: Milion 100 maelewano yapo For serious buyers call...
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza wapi ninaweza pata biometric devirce kwa ajili ya fingerprint na signature na bei yake ikoje nilikuwa nahitaji hicho kifaa. Mwenye kufahamu wapi naweza kuvipata na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mtu wa kuinvest kwenye idea yangu ya biashara! Mtu aweze kuinvest kuanzia 5milion kupanda! Kama ni mkopo nitamlipa kwa marejesho ila kama ni only investment atapata shares katika...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF nimelazimika kukiweka kiwanja changu rehani kilichopo maeneo ya Mbezi ya Msakuzi kwa makubaliano ya kurejesha pesa hiyo. Nina shida ya haraka nawaomba sana anayeijua taasisi au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kipima joto Nauza tsh 55,000 Picha↓↓
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawatakieni heri ya mwaka 2018. Mwenyezi Mungu awatie nguvu ili mtimize malengo yenu mliyojiwekea. Kwa uhitaji wa fundi rangi tunaomba ututafute kwa mawasiliano tuliyoweka hapo chini. Kazi zetu...
2 Reactions
93 Replies
10K Views
Habari za majukumu wakuu naomba kuwasilisha mada kwenu ila kikubwa ni mahitaji yangu ya simu ila naomba iwe ni Tecno kwasababu za kimazingira....... Nimependekeza L9+ na K9+ ila zipo nyingine...
0 Reactions
10 Replies
765 Views
Kwa mahitaji ya bajaji (pikipiki za magurudumu matatu) zinapatikana kwetu tupo temeke hospitali na yombo buza NB utapata bajaji yako ndani ya siku kumi za kazi baada ya malipo. tin namba muhimu...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, tuwasiliane haraka. Please Njoo pm
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Nauza home theater ya Panasonic kwa bei poa ya 350,000, nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >>0766166483
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Njoo ujifunze jinsi ya kuingiza kipato kwa kutumia biashara za kimitandao. Semina itafanyika Melisha Training center iliyoko MWANAKWEREKWE karibu na bank ya PBZ Muda ni saa kumi nambili...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Njoo tukufunze jinsi ya kuongeza kipato chako pasipo kuathiri shughuli zako za kilasiku
0 Reactions
0 Replies
609 Views
We produce Real registered and Novelty passports,drivers licenses,ID cards,birth certificates,diplomas,Visas,SSN,Marriage certificates,divorce papers,US green cards,University degrees Gun...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Nyumba ya vyumba vitatu, a) Master bedroom na viwili vya kawaida. b) Sitting Room na dinning room. c) Ina choo cha ndanibkwa ajili ya hizo room mbili kukiwa na corridor moja. d) Ukubwa wa eneo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,.. mwenye uhitaji wa kiwanja na nyumba ipo Mabibo inauzwa. Location;Mabibo nyuma ya kiwanda cha MO Ukiwa (Mandela road) Nyumba ni kubwa ina vyumba vya kulala vitatu (master's...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za muda ndugu zangu wanaJF Naomba msaada jaman hv n taasis gani ambayo inatoa mkopo chap chap maana dada yangu n mgonjwa na anatomies kufanyiwa upasuaji India ili tunusuru uhai wake na mim...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Wadau wa madini,natafuta sehemu zenye Madini sana sana Green tourmaline ya kupiga mabox(sesa) na kuchekecha. Lengo langu ni kushirikiana kupiga kazi. Nalenga zaidi maeneo ya kaskazini (Manyara na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom