Team ya mafundi rangi za majengo

Team ya mafundi rangi za majengo

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,003
Reaction score
4,336
Nawatakieni heri ya mwaka 2018. Mwenyezi Mungu awatie nguvu ili mtimize malengo yenu mliyojiwekea.

Kwa uhitaji wa fundi rangi tunaomba ututafute kwa mawasiliano tuliyoweka hapo chini.
Kazi zetu ni nzuri na zenye kuvutia. Tunafanya kazi ktk majengo makubwa na nyumba ndogo za kawaida.

Gharama zetu ni kama zilivyoainishwa hapo chini.

Ghorofa kubwa tshs 2500 @sqm

Double storey house , hapa tutaelewana bei kulingana na ukubwa wa nyumba.

Nyumba za kawaida 4bdr na 3bdr tshs 2mil.

Tunapatikana dar es salaam. Huduma zetu tunatoa tanzania nzima.

Ukihitaji kuona kazi zetu moja kwa moja tembelea shule za fedha, jengo la kamaka chanika nk.

Mawasiliano.

0655173113
0624088590
Karibuni na asanteni kwa kutuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom