Electric Car Jack & Impact wrench..
Ni mahsusi kwa ajili ya kunyanyua gari (Jeki) na kufungulia Tairi za magari (Wheel spana).
Ila hizi hutumii nguvu bali umeme wa Gari. Unachofanya ni...
Printer ni me itumia mwaka mmoja tuu kwa matumizi yangu madg madg ya kuprint assignments zangu chuoni,
nilinunua 150k, Ila Mimi nina iuza 90 tuu,
ninakupa na boksi lake kabisa.
popote ulipo...
Wakuu nahitaji chumba kimoja(Self contained) cha kupanga kilicho standard ,maeneo kiwe kuanzia Airport road-Bwiru mpaka mjini,kiwe maeneo ya kufikika main road kirahisi maana sina private car kama...
Natafuta fundi mtaalamu wa kupaka rangi bati,nimeezeka kwa bati za kawaida (Simba dumu) nataka mtu anayeweza kupaka/spray rangi kwa compressor na rangi isitoke kamwe.
Kama una ujuzi huo njoo PM...
Hello wanajamvi....wasalam
Ninashida ya kupata chumba cha kupanga maeneo tajwa hapo au Namanga.
Budget 70k- 100k
Kiwe sehemu isiyojaa maji luku + umeme na self contained...
Ambaye yupo serious...
OFFER KABAMBE.
Karibuni tunauza vifaranga vya kuroiler kwa Tsh 1600, sasso kwa Tsh 1550. Tupo Dsm na Iringa na mikoani tunatuma, wote mnakaribisbwa kuweka order zenu. Kwa wafugaji wanaoanza...
1. iwe na processor walau inazidi 1.7Ghz
2. hdd angalau icpungue 300gb
3. screen ic pungue 14"
4. iwe na vtu vyote
pesa iliopo ni 230,000
muitaji yupo Mbeya
Nauza PC bei 500,000TZS.(fixed).
Specifications:
[emoji117]Touch screen (ina kalamu yake pia unaweza kutumia mkono)
[emoji117]Ram 4GB
[emoji117]Processor Intel(R) Core i5, 1.8GHz
64 bit...
Wanabodi na wadau humu ndani natafuta eneo la kufungua car washa katika maeneo yafuatayo..
1. Barabara ya Mwai Kibaki mpaka mbezi ya chini
2. Kinondoni yeyote
Na pengine popote panapofaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.