MHILYA
Member
- Oct 6, 2016
- 46
- 37
Habari zenu wadau,.. mwenye uhitaji wa kiwanja na nyumba ipo Mabibo inauzwa.
Location;Mabibo nyuma ya kiwanda cha MO Ukiwa (Mandela road)
Nyumba ni kubwa ina vyumba vya kulala vitatu (master's bedroom ni self).,choo cha ndani,jiko na sebule yenye dinning na sitting rooms.
Pia kuna nyumba ya wapangaji yenye vyumba 5.Miundombinu ya maji na umeme vipo.Eneo la uwazi kwa shughuli ndogo ndogo za uzalishaji km busitani na ufugaji lipo.
Bei ya ni Kuanzia Shilingi milioni 200 za Kitanzania,pia maongezi yapo kwa aliye tayari.
TAHADHARI:MAUZO HAYA HAYAPO KWENYE UDALALI NI YA MMILIKI MWENYEWE. KWA ALIYE TAYARI ANI PM KWA MAWASILIANO NA MAELEZO ZAIDI.