Nahitaji simu l9+ au k9+

Nahitaji simu l9+ au k9+

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,494
Habari za majukumu wakuu naomba kuwasilisha mada kwenu ila kikubwa ni mahitaji yangu ya simu ila naomba iwe ni Tecno kwasababu za kimazingira.......

Nimependekeza L9+ na K9+ ila zipo nyingine nzuri zinazolingana uzuri na hizo bei tutakubaliana haiwezi kuwa tatizo sana mawasiliano 0625646266
 
Nina duka la simu sii za mkononi
L9 320000
K9 275000
 
Habari za majukumu wakuu naomba kuwasilisha mada kwenu ila kikubwa ni mahitaji yangu ya simu ila naomba iwe ni Tecno kwasababu za kimazingira.......

Nimependekeza L9+ na K9+ ila zipo nyingine nzuri zinazolingana uzuri na hizo bei tutakubaliana haiwezi kuwa tatizo sana mawasiliano 0625646266
NINA TEKNO K9 NIPE LAKI MBILI NA 50 BADO IKO KWENYE HALI NZURI TANGIYA INUNULIWE INA MIENZI 4 NICHEKI KWENYE PM AU 0715555209
 
Sawa mkuu sehemu gani lipo naomba address
Korogwe tanga naweza kutumia kama upo dar unapokea unakagua mzigo kama ni wenyewe ndo unalipa
Hata hivyo nimeshauzia wengi humu kwa uaminifu sana
Pili hela imekuwa ngumu sana kufanya uhuni ni kujiaribia
Tatu mimi ni mchaga nimetumwa pesa sifanyi uhuni ninunuze mkuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom