Nauza kitanda cha chuma kwa bei ya 250,000 tu, kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo
Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
Jifunze Biblia Kwa njia ya maswali ,ni kitabu kipy kabisa kinachokiwezesha kulijua neno LA Mungu kwa kujibu maswali.Kipo kitabi cha watoto wadogo pamoja na watoto Wa sekondari bacho pia kinaweza...
Nafahamu, Life is all about personal, choice and priority, lakini kwa wastani kuna maamuzi yanayojenga na hata kila mtu ukimwambia anakuelewa.
Kwa mfano Mara nyingi ukimwambia mtu kwamba umenunua...
Natafuta kiwanja bagamoyo mjini..hadi kilomo mwisho ukuni.
Kiwe na ukubwa wa kutosha..
Umeme uwepo na kisiwe mbali na barabara, sihitaji dalali..
Kisiwe na mgogoro na hati iwepo.
Bajeti mil 5...
Mashine ndogo ya kutengeneza ice cream (portable ice cream maker) inauzwa.
Mashine bado mpya full box kila kitu kipo mpaka User manuals zipo.
Haijawahi kutumika.
Bei 230,000TZS mazungumzo yapo...
7kg
Imetumika kidogo ina box lake pia
Inafua na kukamua inaweza fanya vyote kwa pamoja
Bei 350,000 maongezi kidogo yapo
Inakula umeme kidogo sana unaweza fua hata unit moja usiiguse
Siyo lazima...
Tecno j8 bado ipo kwenye hali zuri kabisa
Camera front 8 megapixel second 13 megapixel
Storage 16GB ram 2GB display 5.5 Inch ipo fresh Bei ni 170000 tuuuu
Nina shamba la ekari 2.5 la mitiki yenye umri wa miaka kumi na tano (15) mkoani Morogoro wilaya ya Kilombero. Circumference ya miti ina range kati ya cm 50 na 100. Tunauza kwa kipimo cha cubic...
Habari wakuu,
Kama mada inavosema hapo juu. Natafuta snow foam cannon/gun nimefunguwa Car wash business lakini nimekwisha kuhangaika kutafuta hio kitu.
Kwa anejua wapi inapatikana naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.