Zanzibar Mafunzo ya biashara kutolewa bure

Zanzibar Mafunzo ya biashara kutolewa bure

Guvid

Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
58
Reaction score
16
Njoo ujifunze jinsi ya kuingiza kipato kwa kutumia biashara za kimitandao.
Semina itafanyika Melisha Training center iliyoko MWANAKWEREKWE karibu na bank ya PBZ

Muda ni saa kumi nambili jioni(masaa mawili)

Nyote mnakaribishwa!
 
Back
Top Bottom