Natafuta Green Tourmaline ya machekecho (kuchekecha)

Natafuta Green Tourmaline ya machekecho (kuchekecha)

Joined
Jul 8, 2017
Posts
95
Reaction score
29
Wadau wa madini,natafuta sehemu zenye Madini sana sana Green tourmaline ya kupiga mabox(sesa) na kuchekecha. Lengo langu ni kushirikiana kupiga kazi. Nalenga zaidi maeneo ya kaskazini (Manyara na Arusha) au kanda ya kati (Singida na Dodoma). Naomba ushirikiano wenu.
 
Back
Top Bottom