Nichek pm tujadili
Gadgetronix jamaa wapo Arusha, contact +255622007172 au email info@gadgetronix.net , website; GadgetroniX | Unlimited Technologies | GadgetroniX.net )Habari wakuu,
Naomba kuuliza wapi ninaweza pata biometric devirce kwa ajili ya fingerprint na signature na bei yake ikoje nilikuwa nahitaji hicho kifaa.
Mwenye kufahamu wapi naweza kuvipata na kwa bei gani naomba anijuze.
Ahsante
Freedom computers...pale city council...posta.. Zipo za attendance na access control... Bei nikiambiwa 400 ila inapoaHabari wakuu,