Eng.Dullah
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 372
- 304
Binafsi mimi ni mmoja wa watu naoamini msaada wa huu mtandao.
Bila kupoteza wakati ndugu zangu nahitaji mtu au dalali wa bei nafuu ambae anaweza nisaidia kupata chumba hapo dodoma tuweze wasiliana ili tusaidiane.
Sifa ya chumba kinachohitajika.
Chumba kikubwa chenye tiles na kama kitakuwa self itapendeza zaidi.
Kiwe ndani ya fensi na mazingira rafiki kwa mtoto wa kike.
Kiwe maeneo ambayo ni rahisi kupata daradara za kwenda mjini. Vzuri iwe Area A, C au maeneo ya sabato au malangu.
Bei yake iwe maximum 70k kushuka chini kwa mwezi na malipo yawe ndani ya miezi 3 au chini.
Asanteni ndugu zangu nawasilisha.