Sheets To_Go wamekuletea mzigo mpya mashuka mazuri pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
Gharama ya usafiri juu ya mteja,na waliopo mikoani...
Habari zenu wakuu nipo Arusha kikazi ila soon nitahamia Mwanza, naomba kuuliza je kwa Mwanza maeneo ya Buswelu au Nyakato chumba double self nitapata kwa shilingi ngap kwa mwezi..asanteni
Application iliyopo playstore na website iliyokuwa na full domain zinauzwa bei rahisi application ina downloads 50,000+
Mawasiliano:whatsapp +255685837875
Call:+255685837875...
Simu yangu hii NOKIA 6760s-1 yaku slide imevia wino kwenye screen. Naomba kupata fundi wa kunibadilishia kio kingine iliniendelee kuitumia simu yangu.
Ni PM kama msaada utakua nao.
Asante.
Pikipiki aina ya Boxer kama inavyoonekana kwenye picha inauzwa kwa bei ya shilingi laki saba (700,000/=). Ni nzuri ila haina betri hivyo inawashwa kwa kukanyaga (kick). Tofauti ya hilo aina tatizo...
Habari za asubuhi wanajamvi
Nataka kufungua Salooni ya kiume (barber shop) nimeenda Mwanza kuulizia vifaa hivyo vya saloon nimekuta vinapunja sana naomba kwa mtu anayejua duka ambalo naweza...
Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please...
Wakuu Nahitaji meza ya kawaida ya mbao yenye urefu futi sita, upana futi 2.5 .... 3.5, kimo km futi 3 (ile ambayo mtu akikalia kiti cha kiofisi basi anaweza kuandika au kufanya mambo mengine vzr...
Mambo
mwenye flat screen nch 22 - 24 naomba tuwasiliane nahitaji sana bajeti yangu ni 200,000 mkononi plz serious kama unayo nicheki 0654846084 kama sipatikani naomba unipm
Wakuu, kwanza namshukuru MUNGU nimeingia bongo Leo baada ya muda mrefu kidogo...shida yangu ni Moja naomba mnisaidie nahtaji kwenda karume KESHO asubuhi sana...sasa naomba mnisaidie machimbo yepi...
Kiwanja chenye ukubwa wa Mita 30 kwa 17 kwa 20 chenye nyumba mbili zilizo kwenye lenta kinauzwa.Nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala kimoja selfu,choo,sebule,dining na jiko
Nyingine ina...
Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana.
Bei Tsh, 2,400,000
Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja
Ufanisi ni 95% tegemea na ubora wa mayai yako
Nishati inayotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.