MpyaBei zipoje ni mpya au used
Kwa Mahitaji ya BAJAJI (pikipiki za magurudumu matatu) zinapatikana kwetu Tupo Temeke Hospitali na Yombo Buza
N.B UTAPATA BAJAJI YAKO NDANI YA SIKU KUMI ZA KAZI BAADA YA MALIPO. TIN Namba muhimu kwa ajili ya usajili. mawasiliano 0652659775
BeiMpya
Kweli mkuu lakini kumbuka kuna mambo ya usajili Naa vibali Hivo tunategemea isizidi siku kumi kutokana na order tulizo nazo. Lakini tuna fasttruck service ukiwa na harakaMtu alipe hela yake, then aende nyumbani asubirie siku kumi? What is this? Mnataka kuwa kama ''matajiir'' wa ACACIA - unaingia na briefcase tu, unapewa mtaji na unapiga faida bila jasho.
Kweli huu ni uzi wangu wa kwanza hapa tuvumiliane japo nimekuwa nikivinjari Hapa kwa muda mrefu kidogoMi naskitika tu kuona eti tangazo ndio limeisha hapo.
Ila kwa kuwa ni new member basi karibu sana JF.
Kweli huu ni uzi wangu wa kwanza hapa tuvumiliane japo nimekuwa nikivinjari Hapa kwa muda mrefu kidogo
Kuna sehemu nyingi sana ukifika na fedha unaondoka na bajaji sasa wewe upewe fedha ukaw nayo siku kumi ndio mteja apate bajaji?Kwa mahitaji ya bajaji (pikipiki za magurudumu matatu) zinapatikana kwetu tupo temeke hospitali na yombo buza
NB utapata bajaji yako ndani ya siku kumi za kazi baada ya malipo. tin namba muhimu kwa ajili ya usajili. mawasiliano 0652659775
na wapo watajiingiza 'unyolewa' bila chembe ya shaka. watanzania tunahitaji maombi. nimejaribu kukumbuka ngao ya pick up niliyoisoma miaka ya 2003, NO EASY TASK!Mtu alipe hela yake, then aende nyumbani asubirie siku kumi? What is this? Mnataka kuwa kama ''matajiir'' wa ACACIA - unaingia na briefcase tu, unapewa mtaji na unapiga faida bila jasho.
Kitomari Yupo Kaziniatalia mtu sasa ivi apa!
Kwani huyu jamaa si alishashuhulikiwa hadi akapoteza vitu adimu alafu akakabidhiwa kunako kyombo kya dola?Kitomari Yupo Kazini
NaangaliaBila Shaka Muda Utatuambia Ila Kweli Atalia Mtu
Sekunde Chake
Taarifa Zilikuwa Hivyo Akapoteza Speaker Yaani Ikachanwa 😀Kwani huyu jamaa si alishashuhulikiwa hadi akapoteza vitu adimu alafu akakabidhiwa kunako kyombo kya dola?
Huo ni utaratibu wao sisi ni ndani ya siku kumi za kazi inaweza kua chini ya hapo, mfano mteja hana TIN namba na kachelewa kulipa hawezi kuondoka na chombo siku hiyoKuna sehemu nyingi sana ukifika na fedha unaondoka na bajaji sasa wewe upewe fedha ukaw nayo siku kumi ndio mteja apate bajaji? Puuuuuumbavu
Asante kwa ushauri Tunauza za magurudumu matatu pia za mawili aina ya TVS TU. Nimeweka mawasiliano kwa maelezo zaidiTangazo La Aina Yako Linakosa Mvuto
Ulipaswa Kuandika Japo Hivi :-
Aina Ya Pikipiki (Bajaj, Tvs)
Ujazo Wa Injini (CC)
Magurudumu (Matatu, Mawili )
Pikipiki Ni (Mpya, Iliyotumika )
Gharama Za Usajiri Wa Number
Bei Yake Unayouza