Duuh Nimekuja late

suamakona

Member
Oct 31, 2010
12
1
Hodi wana JF, nimekuja kwenye jamii japo nimechelewa lakini naamini sio sana. JF kweli inajenga na kurekebisha nashangaa kwanini nimechelewa kujiunga na hii jamii. Naomba wana jamii mnipokee ili kwa pamoja tusonge mbele na tuisukume Tanzania yetu.
 
Karibu sana na hujachelewa saaana kihivyo. Tunatarajia mawazo yanayojenga kutoka kwako.

Welikamu so machi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom