Nimetua sasa hivi !!

Mkorosai

Member
Nov 17, 2010
65
0
Jamani nimetua sasa hivi kutoka nchi za mbali, nilikuwa sijawahi kutembelea hapa hadi jana nilipoambiwa habari za hapa kwenu!
Nilifurahi sana nilipoelekezwa kwenye mjengo huu wa great thinkers. Hope mtanisaidia,kunifunza, kunitembeza kila mahali ili pia niwe kama nyinyi. Nawaomba wakazi wa kwenye hili jumba msinibague, mnikubali kwenye jamvi lenu ili mimi nami nichangie katika ujenzi wa Taifa lenu.
Wakorosai wenzangu wamenituma niwaletee habari habari za upendo na utengamano
 
karibu sana.....jina lako karibia lingefanana na ndugu yangu mmoja....yeye anaitwa mkolosai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom