hodi mwana wa mwenzenu

Agonza

New Member
Nov 16, 2010
1
0
jamani hodi, tena hodi, nipokeeni basi jamani wenye mpoooooooo?? hodi mpaka ndani mbona kimyaaaa he! haya me ndo nakaa kwenye mkeka hvo nasubiri wenyeji.
 
mbona unaharaka sana haya karibu ingia hadi sebuleni ila chumbani kumejaa karibu sanaaaa!
 
Karibu ila mwendo punguza maana waweza jikuta chumbani atiii wakati......karibu sana kwenye kisima cha mawazo mbadala na usilete mambo ya mwembe mawazo chumbageni Tanga mpaka story za mama nanihii na baba nanihii wanavyopiga kelele usiku wakati wakiwa wanatafuna muwa. KARIBU
 
Mmmmmmh haya karibu, ila hiyo avatar!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani hodi, tena hodi, nipokeeni basi jamani wenye mpoooooooo?? hodi mpaka ndani mbona kimyaaaa he! haya me ndo nakaa kwenye mkeka hvo nasubiri wenyeji.

ushanipata mbona! hicho chiuno chako?
 
Karibuuuuuuuuuu ndugu yetu Agonza, kwa kweli umefika kwa wana JF, karibu utoe HOJA.
Hiyo avatar!!!!!!!!!!!!!!
Kweli karibu, karibu kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom