Rich Dad JF-Expert Member Dec 15, 2010 748 133 Dec 15, 2010 #1 Najisikia furaha kujiunga na hii platform ili nami niweze kushirikiana nanyi wanajamii katika nyanja mbalimbali. Kwa heshima na taadhima naombeni mnikaribishe, Asanteni.
Najisikia furaha kujiunga na hii platform ili nami niweze kushirikiana nanyi wanajamii katika nyanja mbalimbali. Kwa heshima na taadhima naombeni mnikaribishe, Asanteni.
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,189 Dec 15, 2010 #3 Dad umetufata hadi huku!! Karibu.
D Derimto JF-Expert Member Nov 4, 2010 1,307 306 Dec 15, 2010 #4 Husninyo said: Dad umetufata hadi huku!! Karibu. Click to expand... Kwani atoka wapi?
Rich Dad JF-Expert Member Dec 15, 2010 748 133 Dec 15, 2010 Thread starter #5 Husninyo said: Dad umetufata hadi huku!! Karibu. Click to expand... Asante imebidi niwafuate maana nimeona hamnunui vitabu vya mwanafunzi wangu Robert ili mfaidike na kile alichojifunza kwangu.
Husninyo said: Dad umetufata hadi huku!! Karibu. Click to expand... Asante imebidi niwafuate maana nimeona hamnunui vitabu vya mwanafunzi wangu Robert ili mfaidike na kile alichojifunza kwangu.
Rich Dad JF-Expert Member Dec 15, 2010 748 133 Dec 15, 2010 Thread starter #6 Derimto said: Kwani atoka wapi? Click to expand... Mkuu ukitaka habari zangu nenda kasome kitabu kinaitwa "Rich Dad Poor Dad"
Derimto said: Kwani atoka wapi? Click to expand... Mkuu ukitaka habari zangu nenda kasome kitabu kinaitwa "Rich Dad Poor Dad"
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Dec 15, 2010 #8 Karibu rich dad, zingatia kanuni na sheria za jamvi letu!