Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii waangalia pande mbili za shilingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii waangalia pande mbili za shilingi

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by MJINI CHAI, Dec 12, 2010.

 1. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,789
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi ndio kwanza nimekuja hapa mjini...............naombeni munikaribishe wanawaneeee:A S clock:
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Karibu bana.Ni PM if u hav any prob.Jickie home.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  karibu sana!!!!
   
 4. papason

  papason JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280

  karibuu mgeni karibuu ila usiwe mjanja kuliko ma born town wenyewe
   
 5. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,789
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  inategemea Mkuu maana hapa mjini naambiwa watu wanaishi kwa kuuza maneno na maneno haijalishi ni wa Mjini au Shamba nathani tupo pamoja
   
 6. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Karibu usisahau kusoma katiba ya jamvi..teh teh..teh maana uchelewi kula ban!!
   
 7. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,789
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ok Mkuu nimeisoma na naendelea kusoma ila hayo mengine mmmmmmmmhhh!!
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!mwache atanue ikibidi awazidi hata hao ma born town,mjini ni kujiachia tu kadri upendavyo!!
   
Loading...