Greetings!

Greetings!

Coza Mhando

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
194
Reaction score
7
Habari wana JF,mi ni mwana JF mpya,nawapa salam ndugu zangu,
naomba mnipokee kwa mikono miwili,naamini nitanufaika na kujifunza mengi mapya ktk nyanja zote za maisha.
Ahsanten sana,
 
Habari wana JF,mi ni mwana JF mpya,nawapa salam ndugu zangu,
naomba mnipokee kwa mikono miwili,naamini nitanufaika na kujifunza mengi mapya ktk nyanja zote za maisha.
Ahsanten sana,
Karibu sana
Sio kujifunza wewe tu, bali wana JF wote wajifunze MAZURI toka kwako.
Welcome
 
2shakupokea. Mtafute malaria sugu akuoneshe mjengo ulivyo.
 
Back
Top Bottom