Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
WanaJF, maveterani na wageni waliojiunga na forum hivi karibuni, ninawapa salaam za kheri ya mwaka mpya. Mimi ni mmoja wa wageni ambao najitokeza mbele yenu kwa kuanza mwaka mpya 2011 kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF wote nawatakieni heri ya mwaka mpya and I will be with you starting new year with new blood of great thinkers.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawapa heshima zenu WanaJF. Naomba kujumuika nanyi katika Jamvi hili. Naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Akhsanteni!!!!!!!!!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hi wana-jf, ndo mgeni kabisa humu ndani, naomba kupokelewa, tuweza kulisukuma mbele hili gurudumu. Mmekuwa kimbilio langu mara nyingi ktk mwaka huu wote na hakika nimeipenda jf kwa mada mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa nawasalimuni ... nimeingia rasmi JF
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF mimi sikuwa member wa JF lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii. Nimegundua kwamba level of thinking ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejiunga kwenye hii super blog naomba ushirikiano!
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Cha ukweeeeee kikwelikweli....aksanteni ndugu ninyi nyooooote wa JF nawapa pongezi kwa safari ndefu mliyo ianza siku nyingi pasipo kuchoka....nami nakata utepe rasmi NIPO NANYI MPAKA MWISHO WA...
0 Reactions
4 Replies
852 Views
Kwa hakika nimekuwa nikiifuatilia jf kama mgeni, sasa nimeona na mimi niwe natoa yangu maoni na kuchangia.Hodi hodi wana jf!!!! naamini tutaelewana tu maana "lugha" zenu nazitambua na nazipenda!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Sokon 1 ni mgeni katika jamiiforums nawasalimu na nimejiunga pamoja nanyi katika kuchangia mawazo yenye mtazamo chanya wa kujenga taifa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naitwa Gogozito, naomba kujiunga na wanajamii ili tuweze kushirikiana katika kuboresha hii forum. asanteni sana.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wandugu wana-jamii naomba kuwasilisha hoja ya kupitishwa kwangu na nyie nyote kuwa miongoni mwa wanajamii wenza wa jukwaa hili tukufu baada ya maombi yangu kukubaliwa na Mods. Ahsanteni na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya kutambulishwa kwenu na wateja wetu, tumeona ni bora tujiunge hapa ili kupatikana kwetu iwe ki-urahisi. Business Services & Consultancy Ltd. Business Millennium Park, Office No. 7...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jamii wenzangu. Nimeolewa, kabla sijapatwa na mkasa ninaotaka kuwaeleza nilikuwa namuamini sana mume wangu. Mwaka jana mwezi wa 6 nikagundua kuwa ana mwanamke (mama mtu mzima ) Kuanzia...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mi naitwa wakunjombe........... Naomba kujoin kwaenye jamii forum ahsanteni sana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naomba nami kujiunga katika uga wa ma-genius wa JF. Ni mwana mapinduzi mwenye mrengo ulio wazi about future of our nation, jina langu lina -potray msimamo huo..... hodihodi hodi
0 Reactions
8 Replies
948 Views
I love being here
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Habari zenu wanachama wote jf,mie ni mwanachama mpya nimejiunga na nyie. Natumaini tutakuwa pamoja.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello gud ppl..
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom