Thanks for being the first member to invite me.
You are real a Good Guy!!!!! Take Point
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.
Hoping for a hot welcome from you all.
Thanks and best wishes in this festival season.
Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!
ni maind my own pocket? mboni watishia amani kaka....ila welikam
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.
Hoping for a hot welcome from you all.
Thanks and best wishes in this festival season.
Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!
Woouuuwww!!!! You are the first lady to welcome this men.
thanks Preta for a hot welcome note and let me say umependeza na vazi la msimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hashy, ahsante kwa ukaribisho.
Usitishike mkuu, msimu mgumu huu, mtoto kalilia skuna, mama chilimeni, bado hujakatiza Kariakoo wajomba wakulazimishe uwaachie za kusogezea sikukuu kwa raha basi ni karaha tupu ndani ya mifuko
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.
Hoping for a hot welcome from you all.
Thanks and best wishes in this festival season.
Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!
karib sana, na jarib kupunguza alama za mshangao kwenye post zako. Mods hawapendi magreti thinka wanaoshangaa sana.Woouuuwww!!!! You are the first lady to welcome this men.
thanks Preta for a hot welcome note and let me say umependeza na vazi la msimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Rwamuhuru said:Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!Duh! Mkubwa wewe kikaba(mkabaji) nini? Anyway karibu sana jukwaani. Na poketi zetu zimekusikia.
Rwamuhuru said:Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!Duh! Mkubwa wewe kikaba(mkabaji) nini? Anyway karibu sana jukwaani. Na poketi zetu zimekusikia.
Usiogope mkubwa. Nenda soma majibu yangu ya swali kama hili kwa Hyshcool. Ni alert tu ya msimu wa sikukuuu, si unajua tena muathirika wa kwanza mifuko???
karib sana, na jarib kupunguza alama za mshangao kwenye post zako. Mods hawapendi magreti thinka wanaoshangaa sana.
asante kwa ushirikiano, jiskie uko ikulu.
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.
Hoping for a hot welcome from you all.
Thanks and best wishes in this festival season.
Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!
Ahsante sana. Nimefurahi sana maana JF kuna Klorokwin na Malaria Sugu?? What a game!!
Ila nimesoma post moja nasikia Malaria Sugu haipo tena na kwenye post ile nasikia ni juhudi za Baba Mch. Masanilo. Je nafasi yako ilikuwa nini kwenye kutokomeza Malaria Sugu JF?