Wenyeji.nimekuwa nikipita mtaa huu maarufu.nyumba yenu ni ya kipekee.naomba ruhusa niingie ndani.kuku mgeni asiye na kamba mguuni hawezi kuwa zawadi ya kimburu au...?
Ni matumain yangu mt wazima wa afya njema.Dhumuni la ujumbe huu ni kutaka kuwajulisha na mie huyu nimejiunga kikosini toka fasi za magharibi ya tz. Napenda kuwasalim wana jf popote mlipo...
Hodi wadau wapendwa,
kilingeni naingia,
mgeni katika jamvi,
pasi na hofu yoyote,
kuwa mmoja kati yenu,
mawazo kuchangia,
ustawi wa jamii kuneemeka.
Mkumbamasaka jina langu,
kukokotoa...
Wakuu,
baada ya kuwa msomaji wa jamvi hili kwa miaka kadhaa kwenye maswala ya siasa, sasa nimejiunga rasmi na nia ni kwenda kuleeee..... Kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi, urafiki...... Nadhani...
Haya haya ndio kwanza naingia kwenye baraza.Nimesoma jamii forum kwa miaka kumi sasa nimefurahishwa na majambo yake. Naomba mnipokee kwa mikono miwili.
Hello wanajamii,naitwa Mr Nalonga.....nimepata Rasmi kibali cha kuishi katika kijiji chenu hiki cha Thinkers hii leo....Naamini mkaa karibu na waridi lazima anukie
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.