Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hodi ndani ya kambi kubwa ya waungwana! mi ni msima kazi ya ngu ni kama jina yangu asanteni!
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naingia kama vile nilikuwepo tangu na tangu, kama vile naifaham kuliko wengi wa hao walioitambua mapema zaidi....:msela:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ndugu wanajamii forum, niliingia mwaka jana, kipindi kampeni za uchaguzi zinaanza , nilihamasika na nilikua bega kwa bega na hili jukwaa letu muda mwingine usiku kucha. sasa nimerudi baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuja hapa kuchangia masuala ya muhimu tu, na kuwaumbua wanaoposti upupu na mambo yasiyo na tija. Kazi moja tu- kukata issues Tuko pamoja ndugu zangu Asante,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekua mfuatiliaji na msomaji wa siku nyingi wa hii forum,mijadala na shauri nyingi zinajenga na kuburudisha sana,...na sasa ninaomba kibari nijiunge na mnipokee ili nami niwe...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zanguni nimeutambua mchango weeeenu siku nyingi sana,nipokeeeni tusaidiane kwa aya machache nyumbani kwenu... Mimi ni ndugu yenu mpendwa, ..........Rafiki wa karibu ..........kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
This is new kid on da block.you are now on a swell company guys i envy u.THIS IS ELUNGATA.
0 Reactions
4 Replies
876 Views
:msela:Nabisha hodi jamvini waungwana nipokeeni tujadili ,kufikiri na hata kutafuta ufumbuzi wa yanalolikabili taifa letu na jamii yetu kwa ujumla. Nipokeeni nimekuja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mie ni mwanaharakati mwenzenu, jina langu ni Tumaini edson, kwa kuwa ilm niliyokuwa nayo ni ile ya kiwango walichoridhia ccm, makosa yalikuwa mengi wkt wa mchakato wa kujisajili Jf, nawaombeni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Salamu sana wanaJF nimependezwa sana na mada zinazojadiliwa na wanaJF Hii kweli ni Home of great thinkers, naomba kuingia niwe mmoja ya magreat thinkers, Salamu kwa wote.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hodi hodi naingia,nyumbani kwa wakuu,ombi langu kwa wakuu,naomba kukaribishwa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi all! Mm si mgeni sana wala si mwenyeji sana hapa. Si mgeni kwasababu nimechelewa sana kujiunga kutokana na sababu kadhaa. Si mwenyeji kwasababu sikujua kama kuna majukwaa ambayo wanayaona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ledizi and jentlomeni! habari za muda huu....!! Naombeni nikaribishwe hapa sebuleni na ikiwezekana nikaribishwe hadi chumbani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni,naomba kukaa pamoja na nyiee!
0 Reactions
3 Replies
855 Views
hellow there the great thinkers i am in please assist mimi kuwa great thinker!!!!!!??:msela:
0 Reactions
17 Replies
2K Views
I feel honored to request to join you, I believe that together we can be the best. I request that if I do well, help me; and if I do wrong, set me right. Sincere regard for truth shall be...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi hodi naingia naomba mnifungulie nianze ukurasa mpya nanyi wana JF
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nimekuja rasmi naombeni ushiriakiano wenu katika nyanja zote. Nilijiunga tangu mwanzoni mwa mwezi nilisahau kujitambulisha. Thank you in advance.
0 Reactions
8 Replies
981 Views
Hodi hodi uwanjani,people naingia.kwa mbwembwe na vifijo,naomba mnipokee wana jf.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.nimeipenda sana hii kitu,hongereni sana.pamoja sana wakuu!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom