Hello, Ndo naingia Jamvini.

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,608
5,269
Salamu sana wanaJF nimependezwa sana na mada zinazojadiliwa na wanaJF Hii kweli ni Home of great thinkers, naomba kuingia niwe mmoja ya magreat thinkers, Salamu kwa wote.
 
karib sana. naitwa klorokwini, ni mjanja kinoma, nina uwezo wa kuingia JF bila kwenda internet cafe.
 
Mkuu wa Chuo Karibu,elewa tuu kuwa humu pia kuna wanachuo kibao.Karibu sana
 
Back
Top Bottom