Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi wenyeji kwenye jamvi. Naomba mnipokee. Michango niwatolee. Mawazo niwatolee. Ufisadi niukemee. Ukweli niwalongee Burudani niwaletee. Aksanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilikua siifahamu hii site. Nimesikia kuna mambo mengi sana yana endelea hasa challenge mbalimbali za maisha na Serikali yetu hii tata. Naamini sijapitwa sana naombeni mnipokee wana jamii.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello members, mgeni naingia katika forum ya mambo makubwa supports muhimu jamani!!!!
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Wana-Jf, nimerudi tena. Nilikuwa nimepata ziara kidogo katika nchi za wenzetu za Scandinavia. Niliwa-miss sana. Nimerudi na ninadhani kwa uwezo wa Mungu wote(wanajukwaa) mu wazima wa afya.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ni thread yangu ya kwanza,nategemea kupata ushirikiano mzuri na great thinkers beyond party politics
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Roman Catholic duniani wapo 1.166 billion, kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, jambo la kushangaza zaidi zile nchi zenye waumini wengi wa Catholic duniani ndio zinaongoza kuwa na masikini wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naingia wana jf tuwe pamoja kujadili mada mbalimbali
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Mambo vipi wanaJF mwenzenu naja sio kama nanii...bali mwanaJF tuzungumze pamoja. Nipokeeni mimi ni sehemu ya familia hii. Sina makuu.
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Hi! I salute U all my fellow members in jf the home of Great Thinkers. Today I'm very happy to have finally being able and accepted to join the community. It is my birthday in jf. As a new...
0 Reactions
9 Replies
924 Views
wadau kwanza naomba kujitambusha kwenu kwani mimi ni member mpya. Pili nachukua fursa hii kuwapongez wote mliotumia muda na akili zenu kUfuatilia na kuchangia kwa maono ya fikra chanya kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hodi hodi naingia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wazalendo! Mimi nashukuru na kufurahi sana kupata nafasi kwenye forum hii, nimeipenda. Naamini tukiitumia vizuri italeta mafanikio makubwa kwa nchi yetu, kisiasa, kiuchumi, kijamii na...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Nabisha hodi kwa wenyeji wangu wa JF. Naombeni baraka zenu ndio nimejiunga kwenye jukwaa hili leo. Sijawa na uzoefu wowote hapa hata avatar bado sijaweka. Lakini ninaamini soon i will catch up kwa...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Hallo wana jamii mi mkulima wa Mihogo maeneo ya mkuranga. Naomba unikaribishe na hoja motomoto
0 Reactions
4 Replies
953 Views
Salam - May I enter into your rooms? Nikaribisheni nduguz!! sijui kuna machopo-chopo gani hapa, au ndio yale yale ya muhogo kwa duvi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Imani wote hamjambo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtakuwa nami kocha mchezaji. Siasa na mambo mengine, sipo kabisa
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Niaje wana jf?
0 Reactions
4 Replies
740 Views
Back
Top Bottom