Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ndani ya JF naomba mnipokee-tutafute alipo jificha hosn mubarak
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wana JF Nimekuwa guest member tangu mwaka 2008, lakini mwaka 2010 november nikaamua kujiunga rasmi na jamii forums, na leo hii najitambulisha rasmi kwenu kama mwananchama wa JF hivyo basi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana, nabisha hodi mimi ni fresha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku nyingi nimekuwa mgeni kwenye JF leo naingia rasmi kama member baada ya kiu ya kutoa maoni kwenye mijadala kunizidia. Naomba ushirikiano wenu wana JF wote.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wana jamvi naomba mnipokee ili tuwezechangia mawazo ili tuwezekuikomboa nchi yetu
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Hodihodi wanajf nipokeeni na mie nimejiunga leo baada ya kuwa guest member wa miaka mingi
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Here comes another fella to join hands with Great Thinkers new as a registered member but old in a sense that he has been a never miss non member of this web all along expect a lot to come from...
0 Reactions
5 Replies
891 Views
Naja kwenu wana jamii forum nikiwaomba mtembelee blog na site kama ilivyo hapa...please follow us!! TOURISM AND TRAVEL Real Adventure Tanzania Real Adventure | Tanzania Safari Adventure Company...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf nimejiunga nanyi! Pamoja katika mstakabali wetu sote.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wanajamii wenzangu... Yah: Kushukuru na kuaga Jamani, nimekuwa full member tangu december, 2010. Nilianza kama mchezo tu lakini sasa nimeanguka, nimezama... Mlango niliopitia ni jukwaa...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
hi wana JF, feel great to join you ktk hili jukwaa. stil new lkn natmaini mtafaidi mchango wangu from now!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimara yangu ya kwanza kujitambulisha naomba wanajamii mnipokee jamani.Benedicto Rugakingira niko Barrick.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hi to all members of jamii forums,I'm a new member on this stage but all in all I will be with you in all arenas pertaining in this site so that to bring changes in our societies and the country...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani mimi ni mgeni ktk jamii hii, nategemea ushirikiano wenu ktk kutimiza malengo yetu. Mungu awe nanyi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Just joined today although I have been a regular visitor for a few years. Hope to be more involved as a member sharing information and having fun with ladies/gentlemen connected to the forum. Talk...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mnipokee mwanajamii mwenzenu.Nimekuwa nikiifuatilia hii forum tangu mwaka 2007 lakini sasa nimeamua kujiunga rasmi.Naomba mnipokee wandugu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
I'm not really new, but I forgot to introduce myself when I joined this forum so here I am. I'm a person who's interested in music, literature & story writing and learning new languages. I love...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hodi hodi humu ndani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu jamani wapedwa wa JF! naomba munipokee kwa mikono miwili! sijui A wala B!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Email Print [CHORUS] 25% of all men are unstable 25% of all men can't be faithful 30% of them don't mean what they say and 10% of the remaining 20 is gay That leaves you a 10% chance of ever...
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Back
Top Bottom