Ngo..Ngo Hodiiiiiiiiiiiiiii

Ngo..Ngo Hodiiiiiiiiiiiiiii

Hodi hodi naingia naomba mnifungulie nianze ukurasa mpya nanyi wana JF

He! Hii kali jamani hadi Mabi-Wakubwa ndani ya nyumba? Anyway Karibu sana Bi-Mkubwa ktk jamii yetu ya Wafikiriaji Wakubwa. Ukichukuza sana utakuta hata jina lako lina-match na hii jamii. Karibu tushirikiane.
 
KARIBU SANA BI-MKUBWA, JISIKIE UKO NNYUMBANI. Tunahamu ya kuchota busara zako.
 
Back
Top Bottom