Hodiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,738
Reaction score
8,180
Nimekua mfuatiliaji na msomaji wa siku nyingi wa hii forum,mijadala na shauri nyingi zinajenga na kuburudisha sana,...na sasa ninaomba kibari nijiunge na mnipokee ili nami niwe mwanafamilia/mwanajamii yenu....bravoooooooo all great thinkers.

Nawasilisha rasmi,..
 
haujafanya kosa, hapa utapata kuonana na ma selebriti kama miss dodoma husninyo, mzee wa maadili kaizer, heartbuilder hashycool, sister michelle, grandfaza aspirin,rose ujicho, mfalme wa fujo teamo, mmasai wa mjini wiselady, afro mwana wa denzi na mume wake ze fainest, nguli mrisi wa jabali, lawyer mashuhuri ndugu uporoto1 bila kumsahau malenga wa gongo la mboto ndugu mohammed shossi. kwa niaba yao nasema karib sana
 
Karibu sana ndugu, huyo hapo juu ni mjomba Klorokwini na hao aliowataja ni baadhi ya ma-anko na ma-anti's, karibu sana!!
 
na huyu niliemquote ndie katavi bana! ukiquote post zake 10 tu unapewa upremium memba
 
Thanx klorokwin and katavii......
 
igweeeeeeeeee!karibu mkuu,,malaria haikubaliki!na huyo hapo juu ni klorokwin atakutibu na mwenzie katavi ukitaka utalii wa ndani,,,lol
 
haujafanya kosa, hapa utapata kuonana na ma selebriti kama miss dodoma husninyo, mzee wa maadili kaizer, heartbuilder hashycool, sister michelle, grandfaza aspirin,rose ujicho, mfalme wa fujo teamo, mmasai wa mjini wiselady, afro mwana wa denzi na mume wake ze fainest, nguli mrisi wa jabali, lawyer mashuhuri ndugu uporoto1 bila kumsahau malenga wa gongo la mboto ndugu mohammed shossi. kwa niaba yao nasema karib sana

haya sasa!muda si mrefu utampa mashairi,,hakujui nn?
 
wamenipunguzia kamshahara ofisini, mistari yote imepotea. huoni wiki nzima sasa hakuna hata kaushairi ka uzushi?

inaonekana walikuwa wababaishaji,naweza kukufadhili,masharti na vigezo kuzingatiwa,,,lol!hapana taka kukosa burudani siye
 
Wera-weraaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!ni furaha tu ya kukaribishwa vizuri sana na watu hawa muhimu sana kwangu mimi i.e mheshimiwa klorokwin,ndugu katavi na dada mpendwa WiseLade------asante sana,ndaga fijo,thanks alot and so forth and so on kwenu wapendwa.....
 
Nimekua mfuatiliaji na msomaji wa siku nyingi wa hii forum,mijadala na shauri nyingi zinajenga na kuburudisha sana,...na sasa ninaomba kibari nijiunge na mnipokee ili nami niwe mwanafamilia/mwanajamii yenu....bravoooooooo all great thinkers.

Nawasilisha rasmi,..

Karibu sana.
 
inaonekana walikuwa wababaishaji,naweza kukufadhili,masharti na vigezo kuzingatiwa,,,lol!hapana taka kukosa burudani siye

hehehe senks waizledi. acha nikamtukane bosi anifkuze kazi nipate kajisababu ka kuja kwenye ufazili wako, masharti na vigezo vyote approved.
 
haujafanya kosa, hapa utapata kuonana na ma selebriti kama miss dodoma husninyo, mzee wa maadili kaizer, heartbuilder hashycool, sister michelle, grandfaza aspirin,rose ujicho, mfalme wa fujo teamo, mmasai wa mjini wiselady, afro mwana wa denzi na mume wake ze fainest, nguli mrisi wa jabali, lawyer mashuhuri ndugu uporoto1 bila kumsahau malenga wa gongo la mboto ndugu mohammed shossi. kwa niaba yao nasema karib sana
Aiseee naomba MODS waweke mpambano wa FREE STYLE BATTLE naona kamanda klorokwin kama kawa you just killed it
 
IGWE karibu sana natumaini ankal wetu klorokwin amekupokea vizuri sana
 
IGWE KUMBUKA HII

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Asante sana comrade katavi kwa kunianikia hizo rules and principles za kufuatwa ili forum yetu iwe yenye mafanikio na kusudi la kuanzishwa kwake liweze kukamilika kwa ukamilivu wenye nguvu ya tano,............i will abide and obey them all mkuu, The Finest nimeiona na kuisoma hiyo signature/sain ya mheshimiwa sana klorokwin kwa kweli inafikirisha na kuchangamsha na kama wote tunataka tupunguze kupatwa na magonjwa kama presha,vidonda vya tumbo,vitu kama stress ni vizuri tukazingatia hii signature ya mzee klorokwin_inazuia na kutibu
 
Back
Top Bottom