Sorry, Niliingia kimya kimya

Tumaini edson

Member
Feb 1, 2011
54
0
Mie ni mwanaharakati mwenzenu, jina langu ni Tumaini edson, kwa kuwa ilm niliyokuwa nayo ni ile ya kiwango walichoridhia ccm, makosa yalikuwa mengi wkt wa mchakato wa kujisajili Jf, nawaombeni radhi na naomba mnipokee ili na mm kwa level yangu, niweze changia ktk kile ninachokiona, ili mradi 2 lengo letu ni kuikomboa Tanzania yetu, ambayo mimi naifananisha na nyumba iliyochakaa inayohitaji ukarabati wa hali ya juu ili kdg irejeshe HADHI yake. Asanteni sana.
 
Nimekusoma hapo kwenye red, je ni ya kiwango cha UPE ama?
Karibu sana jamvini nami NAKUKARIBISHA.
 
Karibu sana, tunategemea mawazo mapya na changamoto mpya vilevile kutoka kwako mkuu!!
 
Back
Top Bottom