Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi jukwaani,heshima kwa wakubwa na wadogo,kwa siku za karibuni nimekuwa nikitumia muda mwingi ktk jf kwa kweli nimejifunza mengi kupita nilivyo tarajia,na kizuri zaidi nimeona yale ambayo ingawa...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Hello Wakubwa, Nimekuwa great admirer wa JF kwa vile discussions zinazopatikana hapa zina base kwenye facts na sio ushabiki kama vijiweni au mjengoni (sometimes). Nimefanikiwa kujiunga na pia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana hamjambo? Mie nipo humu muda mrefu(nikiwa nimeshasajiliwa), ila nilitumia utaratibu wa futari, kwamba ukikuta wenzio wanafuturu, nawe keti ufuturu, sikupiga hodi humu. Kama ni kosa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza napenda kuwapeni pole wote mlioathirika kwa namna moja au nyingine na mabomu ya Gongo la mboto.Poleni. Pia napenda kujitambulisha kwenu mie mgeni,nimekuwa nikiwasoma kwa muda mrefu ila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumaini wote mmesalimika na mtikisiko wa mabomu uliojiri kwa usiku wa jana,poleni sana kwa wale ndugu zetu walioathirika na kupotelewa na jamaa zao
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Naomba mnipokee nami nipate raha za Jf....waungwanaaa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naombeni mnikaribishe.........
0 Reactions
16 Replies
1K Views
naomba mnikaribishe na ndani ya begi nimeleta zawadi nzuri kwa ajili ya asprin na nansa wengine tukae jamvini tuzungumze ila lazima leo mniambia kitinda mimba wangu 4by4 yupo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nafurahishwa sana na hii forum, nami napenda kujiunga tujadiliane issues mbalimbali
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu na nafurahishwa sana na yanayoendelea humu ,leo nimeona umuhimu wa kuingia ndani naomba mnipokee .....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamii forum ipo kwenye (fomu),naomba mnikaribishe tucheze pamoja
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamii forum ipo kwenye (fomu),naomba mnikaribishe tucheze pamoja
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Hi
i am joining today. Let's share info and ideas.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejiunga rasmi na JF naomba ushirikiano wenu wa dhati!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamiiforums, mimi ni mwenzenu mwenye kamba mguuni, nikaribisheni tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waungwana wa JF salaama? Kwa heshma na taadhima naomba mnifungulie mlango ndani nipate kuingia ili nipate uhondo wa Jf ...please let me in
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ninayo furaha kuu kujiunga na wanajamii forum.Hakika jamii forum inafaa kujiunga kwa kila mpenda maendeleo.nipokeeni wajemeni
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jus welkam me:msela:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HOW ARE YOU ALL JF MEMBERS? I have been following various motions being discussed here in the forum. As Tanzanian touched by some circumstances taking place in tz, i have found this to the best...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa, naomba mnipokee, nimejiunga katika nyanja hii.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom