Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko.
Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu.
Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani
Ndugu zangu wana JF. Niliwamic sana takribani week moja, nilikuwa segerea kwa kosa ambalo silifahamu mpaka leo. Poleni sana kwa Mabomu ya Gongo la mboto. Ongereni pia kwa michango yenu mizuri...
Kama Mwanachama mpya wa Jamiiforums naomba kujitambulisha kwenu wanachama wenzangu mliopo jamvini kwa muda mrefu.
Nimeona nijiunge nanyi katika jamvi hili lenye kutoa fursa nzuri ya...
Ndugu zanguni wajuvi, wadadisi na wengineo,
Mie ndugu yenu Kiranga cha Ngeda wa viunga vya bandari iso salama, Kiranga wa upande wa Mbwamaji, Kiranga wa Mkuranga,kakae Muamini na mwana wa Fundi...
Hamjambo wana jamii
Baada ya kusoma mada mbalimbali zinazojadiliwa katika jamiiforums kwa muda mrefu nami nimeona nijiunge ili niweze kuchangia mijadala moto moto inayoibuliwa na kujadiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.