gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Hi Intelligent thinkers
naogopa mieeee, unatokea gomz? Salama?
Kama salama...karibu utupe uzoefu wa kukwepa mabomu.
:A S 13: Karibu sana JF
ahahahah!Karibu sana mkuu!jina linatisha!!
Atupe uzoefu upi tena mkuu!mabomu hana uzoefu na hayazoeleki!!teh teh, wacha atupe uzoefu sie