Hodi Hodi, poleni kwa makombora

Hodi Hodi, poleni kwa makombora

Sis wa ukweli

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
21
Reaction score
2
Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko.

Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu.

Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani
 
karibu ila subiri kidogo wenyewe awapo wengine hayo mabomu yame wakimbiza hadi jamvini ila usiofu sis wa ukweli///
 
Hee tushakuwa wakimbizi tena, haya watu wa masaki... ila kumbukeni Ngome iko karibu na kwenyewe kuna vitu vilivyo expire!!!!!:coffee: By the way karibu!!!!
 
karibu sana ingawa napata hisia wewe ni mwenyeji sana humu humu jamvini
 
Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko.

Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu.

Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani

Karibu Mupenzi.
 
Back
Top Bottom