Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hodi jamvin kwa ma great thinkers
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Napenda kuwapongeza kwa mawazo yenu mazuri ambayo yana saidia sana jamii. Nami nimeona ni vema niwe katika kundi hili jema. Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu? Naomba kuwa mmoja wa familia nzuri ya Jamii Forums?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu mliomo. Nimekua mshabiki mkubwa wa jamvi hili lakini mara zote nikiwa mtazamaji tu na kila nilipotaka kuchangia nazuiwa kumbe nilikua mpitaji sasa naingia rasmi nipate kuchangia na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
im new here plz naombeni mnikaribishe. Viva Tanzania. hey im single n ready to mingle
0 Reactions
16 Replies
2K Views
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shukrani kwa Admin kunikarabisha. Salaam Jamii and I look forward to 'healthy' discussions.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
helllo everyone, there is a new girl in the forum and that happens to be me, i have been reading from this forum kwa muda sasa as a guest na t has been real interesting, so nikaamua kujoin. It is...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi kumwibasi!, Dereva shikamoo! Abiria wenzangu hamujambo! Iyo siti ina mwene!
0 Reactions
5 Replies
813 Views
Hodi jamii forum! Nimekua nasoma tu kwa siku nyingi leo nimeamua kujitosa ulingoni, naomba kukaribishwa :):wink2:
0 Reactions
22 Replies
2K Views
helo JF members just wanna break da silence
0 Reactions
9 Replies
977 Views
m new hodi jamani. . .
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Baada ya mpita njia kumuokoa mdada mrembo aliyekuwa katekwa walilala pamoja katika lodge moja maarufu huko Kahama. Usiku huohuo mpita njia alimtamani mrembo kingono nakumueleza walibembelezana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niaje wana jamvi hili, muungwana mwenzenu najitambulisha jamvini kama mnavyoelewa waungwana jamvini huruhusiwi kuingia na viatu na wala kuingia bila hodi na salamu. Naomba kuwakilisha wakuu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hodi hodi wazee mpo, nipokeeni:hand:
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu! nimevutiwa sana na ma-issue ya JF nimekubali na sasa naingia naomba ushirikiano wenu wakuu!
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Najckia faraja kuwa mmoja wenu.naomben ushirikiano wenu.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni matumaini yng kuwa nyote mfresh kiafya kama niilivyo mimi. Kama yupo aliye kuwa hayupo hivyo, Mungu amuondoshee mtatizo yake. Baada ya kuwepo juu kwa muda mrefu huku nikiangalia na kujifunza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu mie ni mgeni nabisha hodi naomba kukaribishwa katika jamvi hili
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni katika forum hii,naomba kupokelewa natumaini nitaendelea kujifunza kutoka mada mbalimbali zinazopatikana katika forum hii toka kwa wajumbe. Aksanteni
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom