Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu wana jamii! Ninaomba kujua nini hasa dhumuni la mwanamke kuvaa shanga? Je wakati wa majambozi nini mwanaume anapaswa kufanya au kuzichezea vipi hizo shanga? Kama kuna ujuzi wowote...
1 Reactions
51 Replies
27K Views
Habari za mishe za mchana wadau.twende kwenye mada,hivi hawa mabraza men wanaovaa vile vijinsi vinavyobana ndo fasheni au vp.utakumkuta mtoto wa kiume kavaa kijinzi kinabana mnoo ndo nini...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa? Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
2 Reactions
259 Replies
26K Views
Msaada jamani hii lotion ina kazi gani mwilini wakuu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nywele zinazovaliwa kila siku na kina dada na kina mama vina uhusiano mkubwa na maiti waliozikwa kisha watu kwenda kuchukua nywele zao makaburini au mahospitalini. Kinachoshanga zaidi ni kwamba...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Oga vizuri paka mafuta yako au lotion,na ujiache na mwonekano wako ukiwa natural,sio unajipiga varnish sijui polish,alafu unatembea ghafla mawingu yanatanda na kaumatone kwa mbaaali,[emoji1]...
5 Reactions
80 Replies
8K Views
Kumeibuka wimbi na vijana masharobaro kupaka rangi kucha na kuwaosha miguu wanawake zetu hii inapelekea kuchochea kuwatega wanawake maana wanalegea sana nakusisimka wanaposuguliwa miguu. Mimi...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
  • Redirect
NAMNA YA KUWA MWANAUME USIYEKERA WANAUME WENZAKO. 1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine...
5 Reactions
Replies
Views
Halow, Mimi ni kijana wa miaka 21. Nataka nianze kupiga gym but kuna tetesi nazipata kuwa kupiga gym katika umri mdogo kuna madhara. Naombeni ushauri but napenda sana kupiga gym.
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Nimejitahidi kukaa na nywele kwa miezi sita, lengo ni kuzi-maintain ili nywele ziwe ndefu ndo iwe kama style yangu mpya. Kufikia sasa nimedhamiria kwenda salon kuzinyoa tu maana nimeshindwa...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo.... 1: kupaka wanja kwenye nyusi Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa...
42 Reactions
582 Replies
49K Views
Wadau samahani sana, Kuna mambo yananitatiza, wadada wanaoweka kucha bandia mikono yote miwili, uwa wanafuaje, kuogaje, kutawaza hapa watadai kuna toileti pepa na vipi papuu zinaogaje? Naomba...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za wakati mpedwa msomaji! yaweza kuwa mpaka sasa unajiuliza ni vigae gani unataka kutumia kwenye sehemu/vyumba vya jengo lako mfano sebuleni, jikoni, vyumba vya kulala, stoo, chooni...
3 Reactions
7 Replies
20K Views
Wakuu, Yaani ninaoga najisugua vizuri lakini nikipitisha mkono bado naona kuna vile vi uchafu vinatoka. Ni sabuni gani nzuri ya kuogea ambayo inaweza kuondoa uchafu wote? Naombeni ushauri wanabodi
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli Hayana harufu,halaf...
2 Reactions
93 Replies
10K Views
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu...
11 Reactions
162 Replies
23K Views
  • Redirect
✍️
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kama kichwa cha habari kilivyo, kwa ujumla ndevu ni nzuri kwa wanaume ila ni karaha pale zinapoota na kurudi tena ndani ya ngozi. Mm nilikuwa mhanga maana pia ukinyoa zinaacha alama, japo Bump...
0 Reactions
Replies
Views
Most Beautiful Black Women Around The World.. 2017/2018
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo. Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya...
6 Reactions
159 Replies
83K Views
Back
Top Bottom