Jiamini make up ya nini? jiachie na mwonekano wako ukiwa natural

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
281
250
Oga vizuri paka mafuta yako au lotion,na ujiache na mwonekano wako ukiwa natural,sio unajipiga varnish sijui polish,alafu unatembea ghafla mawingu yanatanda na kaumatone kwa mbaaali, unashangaa jitu linatoka speed kama linasukumwa na upepo,kumbe anatetea rangi yake ya mbao kumbe wadada wanajua raidha ila tu ni kwa msimu wa mvua.
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,734
2,000
Ukiona mtu kapaka Makeup jua yupo down hivyo anataka awe juu.

Make up ni kwaajili ya kuweka uzuri bandia ili ajifananishe na msichana mzuri. Asilia kubwa wanaofanya hivyo ni wanawake waliokata taa. Eidha anadanga au umri umeenda na uso hautazamiki tena. Kakata senta bolt.

Nawachukia sana. Ukiona mtu anamakeup hakufai labda kuosha rungu tu kisha unasepa.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,207
2,000
Ukiona mtu kapaka Makeup jua yupo down hivyo anataka awe juu.

Make up ni kwaajili ya kuweka uzuri bandia ili ajifananishe na msichana mzuri. Asilia kubwa wanaofanya hivyo ni wanawake waliokata taa. Eidha anadanga au umri umeenda na uso hautazamiki tena. Kakata senta bolt.

Nawachukia sana. Ukiona mtu anamakeup hakufai labda kuosha rungu tu kisha unasepa.
hahaha
 
ABJ

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
4,413
2,000
Oga vizuri paka mafuta yako au lotion,na ujiache na mwonekano wako ukiwa natural,sio unajipiga varnish sjui polish,af unatembea ghafla mawingu yanatanda na kaumatone kwa mbaaal,....... ...unashangaa jitu linatoka speed km linasukumwa na upepo,kumbe anatetea rangi yake ya mbao.....,kumbe wadada wanajua riadha ila tu ni kwa msimu wa mvua...
afu inakomaza sura hawajui tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom