Nini kazi ya shanga za kiunoni?

CABANA

JF-Expert Member
Feb 6, 2013
418
523
Habari zenu wana jamii!

Ninaomba kujua nini hasa dhumuni la mwanamke kuvaa shanga? Je wakati wa majambozi nini mwanaume anapaswa kufanya au kuzichezea vipi hizo shanga? Kama kuna ujuzi wowote au siri yoyote juu shanga kwa upande wa mwanamme naomba nijuzeni jamani.

Asante.
 
Watakuja wenye shanga watakweleza wanapenda zichezeweje...Na huwa wanasikia ladha gani.Stay tuned dude!!:A S 576:
 
Habari zenu wana jamii! Ninaomba kujua nini hasa dhumuni la mwanamke kuvaa shanga? Je wakati wa majambozi nini mwanamme anapaswa kufanya au kuzichezea vipi hizo shanga? Kama kuna ujuzi wowote au siri yoyote juu shanga kwa upande wa mwanamme naomba nijuzeni jamani.Asante.

1.jpg
2.jpg

labda tumtafute huyu anaweza kujua matumizi yake
 
Kiuno ni kiungo ambayo nyonga ya mwanamke ipo na sehemu hyo iko vry sensitive an erotic so mwanaume wastahili kuzichezea zle shanga kama wazihesabu vle huku ukimkuna bi dada.nakuvaa shanga c uhuni ni chachandu tuu.mi hua huzivua afta shuguli mana naogopa zcje mwagika mbele ya kadamnasi mamaweeee ni noma nshawai mwona mmama kwenye daladala zlimwagika mhhh nilimwonea huruma kwelii
Tunashukuru sana kwa ufahamu,Hata mimi nilikuwa sijui kwa kweli. Asante,Na nadhani wanafunzi anaweza kuja kujua zaidi kuliko mwalimu. I hope nikaweza kumnogesha nitakapo mpata wangu azivae shanga.
 
Huyu anaweza kukufanya uzivue kama unazo, haogagi?
Ukiogaoga kila mara nyuzi zinaoza na kuzeeka ndio maana zinakatika.Huyu kagundua hivyo ndio maana haogi,labda anatawaza tuu. Au labda hata kutawaza hatawazi maana atapooza mashine ipoteze ladha maridhawa kwa wateja.
 
Mbona unawatisha wadau? Wataogopa kujibu kwa kuhofia kuonekana wanashanga
Jamani kuonekana wana shanga ni sifa nzuri maana wataonekana na kujulikana wanajali na wanataka kujaliwa na wahusika wao. Hata mimi natamani mwenye shanga aniPM nione burudani hii kama nitaimudu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom